UTEUZI NA CHANGAMOTO ZINAZOMWATHIRI KIONGOZI WA KIKE KATIKA JAMII: MFANO WA MHUSIKA MKUU KATIKA TAMTHILIA TEULE ZA KISWAHILI

SYEKEI Martha Nyangweso, AYODI Nancy, MOHOCHI Ernest Sangai

Abstract


Wasomi na wahakiki wametathmini tanzu mbalimbali kama vile ushairi, riwaya na nyimbo kuhusu kiongozi wa kike. Lakini utanzu wa tamthilia haujashughulikiwa kwa kina kumpa mhusika huyu sifa anazozistahili. Wahakiki wengi hawana habari kuwa mhusika huyu ana wadhifa mkubwa katika uongozi wa jamii husika, sio barani Afrika tu, bali duniani kote. Makala haya yanatathmini uteuzi na athari ya kiongozi wa kike katika jamii husika. Mbali na makala haya kuangazia uteuzi wa mhusika huyu wa kike yanazamia kuelezea athari aliyo nayo katika jamii kwa ujumla mbali na changamoto anazopitia. Ni vipi matokeo ya utafiti huu itaongezea idhibati ya mambo muhimu katika fasihi ya lugha ya Kiswahili?


Full Text:

PDF

References


Briskin, L. & McPhail, M. (1998). Study Of Women and Education: Feminist, Philosophical Reflections on Reproductive Rights in Canada. Toronto: University of Toronto Press.

Chioma, F.S. (1981). Black Woman and Survival. A Maroon Case. London: Wellsley

Devries, J. (1999). Contemporary Literature. New York. Ether Pub. Ltd.

Felder, K. (1996). Empowering the woman. New York. Bighton Publishers Ltd.

Holman, C. H (1960). A Handbook to Literature. New York: The Odyssey Press Inc.

Jackson, P. (1999). Understanding West Literal works. Dublin. Ireland Pub. Ltd.

Kombo, D. & Tromp, D.L.A. (2006). Proposal and Thesis Writing: An Introduction. Nairobi: Paulines Publications Africa.

Kruger, G. (1998). The Illusion of Superiority among Humans. Personality and Social Psychology Bulletin, 24, 505–516.

Lukacs, G. (1963). Realism in the Balance. Budapest: Heines Press.

Mazrui, A. & Njogu, K. (2006). Sudana. Nairobi: Longhorn Publishers Ltd.

Mazrui, A. (1981). Kilio cha Haki. Nairobi. Longhorn Publishers.

Mbatiah, M (2001). Kamusi ya Fasihi. Nairobi: Standard Textbooks and Graphics and Publishing Ltd.


Refbacks

  • There are currently no refbacks.